Shafih Dauda Awafariji Simba 'Simba Hamjafanya Vibaya Jivunieni Nafasi ya Pili'

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Yanga wako nondo hakuna Mtu anabahatisha kuingia Fainali, Mashabiki wa Simba wanakaa kuijadili timu yao kuonekana haijafanya vizuri, wanashindwa kuangalia Yanga wamekuwa bora zaidi yao na Yanga kuwa bora sio dhambi ni jambo la kujifunza na kufurahia.

Kwa ujumla Simba haijafanya vibaya! Mimi sijadili malengo ya Klabu nazungumzia mpira, kumaliza nafasi ya pili ni jambo la kujivunia hazikuwa timu mbili zinacheza Ligi, zilikuwa 16.

Kafungwa Robo Fainali na aliyemfunga yupo Fainali anaweza akawa bingwa ukiangalia kwa picha kubwa hawajafanya vibaya, Simba ingeshika nafasi ya nane [8], ingetolewa makundi, ningesema wamefanya vibaya.

Aliyemtoa kimataifa amefika Fainali huku nyumbani Bingwa amefika Fainali maana yake inatupa ujumbe kuwa wapinzani wake walikuwa bora zaidi yao, huwezi kusema Simba imefanya vibaya ni kuwapongeza waliokuwa bora.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad