Tabia ya Simba Kujiona Wakubwa na Bora ndio Zimefanya Always Waishie Robo Fainali

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Simba Kuishia Robo Fainali
Timu ya Simba

Nilikuwepo SA kipindi kile nilipokuwa Kolo (Asante Mungu kunivua) tuliamini tunakwenda Semi final kirahisi Coz Kaizer Chiefs ilikuwa taabani, maandalizi yetu yalikuwa ya hovyo, kambini kulijaa Confidence ya ajabu, matokeo yake kuingia uwanjani tukala ARBAA.

Tofauti na huku Yanga, Pamoja na Marumo kuwa hoi kwenye ligi ya kwao, hatukuwadharau na tulijua wanafanya vizuri kwenye Kombe la Shirikisho,Tulijua wanacheza ligi bora, tukaendelea kuwaheshimu hata baada ya kuwafunga mechi ya kwanza Dar, ugenini tukaja na plan ya kucheza Kwa kuwaheshimu na kutumia counter attack, mwishoe tukatoboa.

Mentalities za kujiona wakubwa na bora ndio zimefanya Makolo always waishie Robo fainali, imagine unaenda kucheza na Kaizer unajiona wewe mkubwa zaidi yake, Huku kwa Wananchi hakuna hivyo vitu, huku tunajua ili uwe mkubwa ni lazma ushinde mataji makubwa,sio kuishia Robo Robo kila Siku.

@wasafifm @georgeambangile @hansrafael14
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad