Wenye vitambulisho vilivyoisha muda watambuliwe – Serikali

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Watoa huduma wametakiwa kuendelea kuwatambua wateja wanaotumia vitambulisho vya taifa – NIDA, vyenye tarehe za ukomo hadi pale maelekezo mengine yatakapotolewa.

Akizungumza kwa niamba ya Waziri wa Mambo ya Ndani, Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Khamis Hamza amesema namba za utambulisho zilizopo katika vitambulisho hazina ukomo wa muda wa matumizi.


Amesema, “marekebisho hayo hayatahusu muda wa matumizi ya Vitambulisho vya Taifa kwa Wageni Wakazi na Wakimbizi.”

Katika swali hilo lililoulizwa kwa niaba yake na Mbunge Jenny James, Dorothy alitaka kufahamu tamko la Serikali kuhusu kitambulisho cha taifa kuwekwa ukomo wa kutumika.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad