Yanga Wanataka Kumuharibu Kisaikolojia Feisal Toto , Mchangieni Aondoke Yanga

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Maoni ya @scanda24, Mchambuzi wa Clouds Fm ✍️

"Msemaji wa klabu kaamua kumtukana Mshauri namba moja wa Feisal ambaye ni mama yake mzazi na hii sio mara ya kwanza. Sasa kama uongozi unasema huyu mchezaji wetu halafu msemaji wa Uongozi unamtukana mchezaji na Mama yake na ndugu zake"

"Watanzania Mchangieni huyu kijana, mchangieni aondoke Yanga, kuna mengi anapitia na mengi alipitia hivyo wanachofanya ni vita vya Saikolojia na kumuharibia mbele ya watu. Feisal anapendwa na atapendwa"
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad