Anjella : Nilikuwa Nazimia Kila Muda Konde Gang

Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Bonyeza Hapa

 

Anjella : Nilikuwa nazimia kila muda Konde Gang

Anjella amesimulia mambo mbalimbali baada ya kutoka Konde Gang ambapo moja wapo ni hili la kwamba alikuwa akizimia mara kwa mara.


"Baada ya kutoka Konde Gang kiukweli sikuwa na muelekeo nilikata tamaa na kupoteza tumaini ashukuriwe Mungu wakati ambao nawaza itakuwaje nikamkubuka mtu mmoja anaitwa Zungu yeye ndio alinipa moyo na kuniambia sipo sawa na akanitafutia Mwanasaikolojia nikaambiwa nisiende Studio mpaka nitakapo kaa sawa"


"Na wakati ule kwenye mitandao kulikuwa na mambo mengi ilikuwa nikiona ninavyosemwa nilikuwa nazimia kila muda mpaka akanipokonya simu ili nisione yanayoendelea mitandaoni, Baada ya kukaa sawa akanikutanisha na Kontawa ndio tukaandika wimbo wa Blessing."

_________

 Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo na Makampuni Bonyeza HAPA

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad