Diamond Platnumz uso kwa uso na Mobetto, Ommy Dimpoz Dubai

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 

Diamond Platnumz uso kwa uso na Mobetto, Ommy Dimpoz Dubai

Wasanii wa muziki wa Bongo Fleva Diamond Platnnumz, Ommy Dimpoz na Hamisa Mobeto wamekutana Dubai wakila bata clu ya usiku siku ya jana, wasanii hao wakiwa kwenye mapumziko yao Dubai wamekutana na kukaa meza moja na kubadilishana mawazo.


Kupitia picha zilizopostiwa na mmoja ya team yao mfanyabiashara Kalito inawaonyesha mastaa hao wakiwa pamoja na kupiga nao picha ya pamoja huku meneja wa Diamond Sallam Sk akiwa miongoni mwao.


Diamond na Ommy Dimpoz walikuwa kwenye tofauti kwa muda mrefu na hivi majuzi walimaliza tofauti zao lakinni kwa upande wa Hamisa ni mwanamke ambaye aliwahi kuwa kwenye mahusiano na Diamond na baada ya kuachana hawakuwahi kuwa karibu tena

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad