Lava Lava Kijana wa Bagamoyo Ashtuka Usingizini Wakati Wenzake wa WCB Wakivunja Rekodi Mbali Mbali

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Lava Lava Kijana wa Bagamoyo Ashtuka Usingizini Wakati Wenzake wa WCB Wakivunja Rekodi Mbali Mbali


Mwimbaji wa Bongofleva kutoka WCB Wasafi, Lava Lava ametangaza ujio wake mpya ni hapo Juni 14 mwaka huu baada ya ukimya wa muda mrefu.

Wimbo wa mwisho kwa Lava Lava kuachia ni Desh Desh uliotoka Julai 2022, kwa kifupi tangu mwaka huu umeanza hajatoa wimbo wowote na ni takribani miezi mitatu tu imesalia atimize mwaka mmoja!.

"Mashabiki zangu, mashabiki zangu, mashabiki zangu, nimewaita mara tatu, hiyo tarehe 14/6/2023 nakuja kuua mtu" ameandika Lava Lava Insta Story.

Ikumbukwe Lava Lava alitambulishwa WCB Wasafi, lebo yake Diamond Platnumz hapo Mei 2017 akiwa ni msanii watano baada ya Harmonize, Rayvanny na Rich Mavoko , lakini katika wote Lava Lava ndio mwenye mwendo mdogo huku wenzake wakifunja rekodi mbali mbali katika Tasnia ya Muziki Hapa Bongo na Afrika nzima

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad