Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Bonyeza Hapa
Jeshi la Polisi Nchini #Kenya, linamshikilia kwa mahojiano, #DJBrownskin (Michael Macharia Njiiri) anayedaiwa kurekodi tukio ambalo limetajwa kuwa ni kosa la kusaidia kuua, kinyume na Kifungu cha 225 (c) cha Kanuni ya Adhabu
Upande wa Upelelezi umesema DJ huyo alimuacha Mkewe bila kuchukua hatua zozote kuzuia kitendo hicho, hali iliyosababisha kifo cha #SharonNjeri. Aidha, imedaiwa aliitwa Polisi mara 3 tangu Januari 2023 lakini hakuwahi kuitikia wito hadi alipokamatwa
Brownskin yuko mahabusu katika kituo cha #Kasarani, akichunguzwa kwa kushuhudia mkewe Sharon Njeri (24) akijiua kwa kunywa Sumu mbele yake na Watoto wao, usiku wa kati ya Julai 29 na 30 Mwaka 2022.
Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo na Makampuni Bonyeza HAPA