Injia Hersi 'Kuhusu Mastaa Wapya Yanga..Nikipewa Jina Zuri Namwaga Pesa tu'

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 

Injia Hersi 'Kuhusu Mastaa Wapya Yanga..Nikipewa Jina Zuri Namwaga Pesa tu'

Rais wa Yanga, Injinia Hersi Said, amepiga mkwara mzito kuhusu masuala ya usajili akiweka wazi kuwa jina lolote atakalopewa atafanyia kazi kuhakikisha anamleta mchezaji huyo.

Injinia Hersi alifanikisha madili ya wachezaji wengi ndani ya kikosi cha Yanga akiwemo Stephane Aziz KI ambaye alikuwa anakipiga ASEC Mimosas ya Ivory Coast.

Aziz Ki alikuwa anatajwa kuwa kwenye rada za mabosi wa Simba pamoja na Azam FC, jambo lililoongeza presha kwenye kuisaka saini yake na mwisho aliibuka Yanga.

Injinia Hersi amesema: “Kwenye suala la usajili, Yanga tupo tofauti na tunazidi kuiboresha sekta hii kutokana na kuwa na mfumo wa mabadiliko, hivyo wakishafanya mchakato wao ninawaambia tu jina lolote wanipe.

“Wakinipa jina la mchezaji ambaye wanamuhitaji popote kule hizo ndizo kazi zangu, nitahakikisha ninakamilisha hilo dili na kuwapatia mchezaji wao.”

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad