Taifa Stars Yaibukia Bungeni

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


NAIBU waziri Wizara ya Utamaduni sanaa na michezo Hamis Mwinjuma amesema ni fahari kubwa kwa timu ya taifa ya Tanzania ‘ Taifa Stars’ kupata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Niger kwani kikosi hicho kinakaribia kufuzu michuano ya mataifa ya Afrika ‘Afcon’

Mwinjuma amesema hayo Leo Juni 19, Bungeni jijini Dodoma wakati wa kipindi cha maswali na majibu na kusema kuwa katika kuwaunga mkono Taifa stars ahadi ya Rais Samia Suluhu Hassan itaendelea kuwepo katika michezo ya Taifa Stars ili kuweka hamasa kwa timu hiyo.

“Naomba niipongeze timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars kwa kutupata ushindi Jana,Kama ambavyo niliwaahidi jana zile milioni 10 za goli la mama wataipata leo kwa sababu Mama hana kona kona” amesema Mwinjuma

Taifa Stars inahitaji alama moja tuu ili kujihakishia nafasi ya kucheza michuano ya Afcon mwakani nchini Ivory Coast ambapo itacheza mchezo wa mwisho ugenini dhidi ya Algeria baadae mwaka huu.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad