Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Bonyeza Hapa
Don Dingoo @whozu_ (Chibaba) ametusanua kuwa moja ya shida ya mpenzi wake @wemasepetu (Chimama) ni kupenda kukasirika juu ya vitu vidogo kama ndio mahusiano yake ya kwanza.
"Jamani huyu bi mkubwa @wemasepetu Shida ni yake moja tu, Anapenda sana kupanic vitu vidogo Utasema haya ndo mahusiano yake ya kwanza ku date, haya umeshinda mama nifanye unachoweza basi".
Whozu amefunguka hayo baada ya kumtumia Wema Sepetu kama 'Video Queen' kwenye ngoma yake mpya ya Umeyatimba.
Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo na Makampuni Bonyeza HAPA