Shilole Akiri Kuweka Rehani Hati ya Nyumba Kuweza Kuwalipia Ada ya Shule Watoto wake

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Shilole Akiri Kuweka Rehani Hati ya Nyumba Kuweza Kuwalipia Ada ya Shule Watoto wake


Msanii na Mjasiriamali Shilole @officialshilole amesimulia alivyowahi kuweka hati ya nyumbani rehani ili apate pesa ya kulipia Watoto wake ada ya Shule kwani iliwahi kufika mahali alikuwa anapambana na bado anajikuta anakosa hela ya ada mpaka kutumia njia nyingine za kiupambanaji.


Shishi amefunguka hayo kwenye mahojiano na @AyoTV_ leo katika ofisi zake za Shishi Food ikiwa ni saa machache baada ya kutangaza furaha aliyonayo baada ya Mtoto wake Joyce kufaulu kwa kupada division 1 ya 7 katika matokeo ya kidato cha sita yaliyotangazwa leo.


Katika hatua nyingine Shilole ametangaza ujio wa Festival yake ya vyakula vya asili itakayokuja hivi karibuni baada ya kuanzisha mtindo wa kupika vyakula vya kiasili vya kila Kabila kila Alhamisi ambapo alianza na Wachaga na Wiki hii amepika vya Wahaya.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad