Babu Tale Ampa Shavu Dogo Mwenye Kipaji Aliotrend Mtandaoni, Kuimba Wasafi Festival na Kurekodiwa Bure

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Babu Tale Ampa Shavu Dogo Mwenye Kipaji Aliotrend Mtandaoni, Kuimba Wasafi Festival na Kurekodiwa Bure

Meneja wa supastaa wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz ambaye ni Mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki, Hamisi Taletale 'Babutale' amemfungulia njia kijana mwenye kipaji 'Founder TZ' ambaye ameonyesha uwezo wake mkubwa wa kuimba kupitia mitandao ya kijamii.


Mdau huyo mkubwa wa muziki ameshare video ya msanii huyo na kuandika; “Nimependa huyu dogo anavyoimba na kwakua tumeumbwa kuwainua wenzetu basi kwenye hii Wasafi Festiva.


"Pia ningependa kuona hi nyota ikiendelea kuwaka. Haya kwa anayemfaham huyu kilana aniletee kwene ofisi za wasafi. Nataka nimpe ofa ya Video na audio ili atimize ndoto zake. #theblackgodfather,” amesema Tale.


Kauli hiyo ni kama sheria na njia, kwani mdau huyo mkubwa wa muziki nchini Tanzania amewahi kufanya hivyo kwa wasanii wengi wachanga wa nje ya WCB na wakatoboa

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad