Matokeo Azam na Kitayosce, Mtu Kafungwa 4 Bila , Huku Fei toto Akiibuka na Hat Trick

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Matokeo Azam na Kitayosce, Mtu Kafungwa 4 Bila , Huku Fei toto Akiibuka na Hat Trick

NBCPL Hat-trick ya haraka kutoka kwa Feitoto ikipatikana ndani ya dakika 13 za kwanza.

18’: Azam 4-0 Kitayosce

Mchezo wa Azam FC dhidi ya Kitayosce FC ya Tabora umemalizika kwa Azam FC kupata ushindi wa magoli 4-0, huku mchezo huo ukivunjika dakika ya 27 ya kipindi cha kwanza.

Kitayosce waliokuwa Wageni wa Azam FC katika uwanja wa Azam Complex, walianza mchezo huo kwa kuwa Wachezaji wanane uwanjani huku Azam FC wakiwa 11.

Wakati mchezo unaendelea golikipa wa Kitayosce na Mchezaji mmoja wa ndani aliumia hivyo mchezo ukashindwa kuendelea dakika ya 27 kutokana na kubaki 6 uwanjani na kanuni zinaruhusu mechi kuendelea endapo timu moja itakuwa na wachezaji kuanzia saba.

Hivyo kutokana na mchezo huo kuvunjika Azam FC anapata ushindi wa point 3 na magoli manne (Feitoto 3’ 9’ 13’ Dube 5’).
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad