Nandy Awapiga Dongo Waliosema Watapoteza Mvuto Wakioana

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 

Nandy awapiga dongo waliosema watapoteza mvuto wakioana

The African Princess, Nandy amechomekea dongo kiaina kwa wale wote waliokuwa wakimtabiria kwamba yeye na mumewe Billnass watapoteza mvuto watakapofunga ndoa.


Nandy ametoa kauli hiyo usiku wa kuamkia leo Agosti 12, 2023 katika usiku wake maalum alioupa jina la Follow The Vibe.


Akiwa jukwaani alipomkaribisha mumewe kupafomu, Nandy ndipo alipotoa kauli hiyo ambayo ilijibiwa na wageni waalikwa waliokuwa kwenye mtoko huo.


"Walisema tukioana tutapoteza mvuto, vipi hapa mnavyotuona mvuto upo au haupo," alihoji Nandy na kujibiwa 'upooo'.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad