Tory Lanez Aanzisha Harakati za kumtoa Gerezani

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 

Tory Lanez Aanzisha Harakati za kumtoa Gerezani

Baada ya kuweka wazi kuwa hawezi kuomba msamaha kwa kosa ambalo hajalifanya baada ya kupewa hukumu ya miaka 10, rapa Tory Lanez ametambulisha harakati yake ya "Free Tory" ili kutafuta haki yake kwenye hili.


Kupitia ukurasa wake wa Instagram Tory Lanez amepost baadhi ya T-Shirt na Hoods zenye picha yake na maneno yanayosomeka "Free Torry" ikiwa na maana kuwa inatafutwa haki kwa upande wake huku akiwaelekeza watu namna ya kuzipata bidhaa hizo.


Neno Free lilimsaidia rapa Meek Mill pia miaka ya nyuma alipokuwa gerezani baada ya watu wengi kupaza sauti na kuiendeleza harakati ya "Free MeekMill" huku ikiwa ni harakati ambayo ilifanya yeye na Drake kupatana pia, huenda ikaleta matunda mazuri kwa rapa Tory Lanez kama watu wengi watapaza sauti ya "Free Tory" pia.

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad