Wazazi wa Watoto Wanaocheza ligi Moja na Messi Marekani Walalamika Messi kuwazidi Viwango Watoto wao

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Baadhi ya wazazi ambao watoto wao ni wa wachezaji wa MLS wametoa malalamiko dhidi ya Leo Messi kuwaonea vijana wao wakidai uwezo wake ni mkubwa sana tofauti na watoto wao (wachezaji wa ndani MLS)

Mama wa Jack McGlynn (mchezaji wa Philadelphia) amenukuliwa akisema

“Sio haki, tangu Messi ajiunge na Inter Miami hakuna anayeweza kumzuia, inajulikana yeye ni bora zaidi kuliko watoto wetu na hii inafanya wanaanza kujihisi vibaya.”

Mama wa mchezaji wa Orlando City ambaye chanzo hakijataja jina lake amesema

“Messi ni mchezaji mzuri lakini kuhusu usawa anatakiwa acheze dhidi ya watu wa kiwango chake cha ustadi na kuacha kuwafanya watoto wetu wajihisi wao ni dahifu”
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad