Hawa Hapa Wachezaji 30 Wanaowania Tuzo ya Ballon d'Or, Christian Ronald Katoswa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Waandaaji wa tuzo ya Ballon d’Or leo wametaja list ya Wachezaji 30 wanaowania tuzo ya Ballon d’Or kwa mwaka 2023 ambapo baadaye watachujwa hadi kupatikana Mshindi ambaye atatangazwa October 30,2023 Paris Ufaransa.

Waliotangazwa ni Julian Alvarez, Nicollo Barella, Jude Bellingham, Karim Benzema, Yassine Bounou, Kevin De Bruyne, Ruben Dias, Antoine Griezmann, Ilkay Gundogan, Josko Gvardiol, Erling Haaland na Harry Kane.

Wengine ni Randal Kolo Muani, Khvicha Kvararskhelia, Robert Lewandowski, Emiliano Martinez, Lautaro Martinez, Kylian Mbappe, Lionel Messi, Kim Min-Jae, Luka Modric, Jamal Musiala, Martin Odegaard, André Onana, Victor Osimhen, Rodri, Bukayo Saka, Mohamed Salah, Bernardo Silva na Vinisicius Jr.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad