Kumekucha: DR Slaa Avuliwa Hadhi ya Ubalozi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kumekucha: DR Slaa Avuliwa Hadhi ya Ubalozi


Dr. Slaa aliteuliwa kuwa balozi na Rais Magufuli Novemba 23, 201

Mnamo Julai 21, 2023 mdau kupitia mtandao wa JamiiForums.com alidokeza kuwa Dkt. Slaa angekamatwa na angevuliwa Ubalozi

Julai 22, 2023 Dkt. Slaa akiongea na wananchi kuhusu kasoro zilizopo kwenye mkataba wa uwekezaji katika bandari ya Dar es Salaam alinukuliwa akisema “Najua maneno hayo ni makali… nimepokea vitisho na mimi pia sio tu Mawakili, wengine wakasema ubalozi wako tutachukua, nawaambia chukueni sasa hivi, siishi kwa ajili ya ubalozi. Nimesema sina chama najiamini, najua ninachosimamia“

-

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad