Mange Kimambi Aibua Makubwa Zamaradi Kumdhulumu Mfanyakazi wake Zamaradi TV Milioni 19

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 

Mange Kimambi Aibua Makubwa Zamaradi Kumdhulumu Mfanyakazi wake Zamaradi TV Milioni 19


Mange Ameandika Haya 

Wasomaji wa Mange Kimambi App wameniomba hii niposti instagram sababu wanasema huu sio umbea bali ni uonevu mkubwa… Nimecopy na kupesti nilichoandika kwenye app.


Sasa issue iko hivi, huyu jamaa anaitwa Meggy. Profession yake ni Director. Alianza kufanya kazi kwa Zamaradi in 2020. For the first 1 year ya kufanya kazi alikuwa na mkataba na alilipwa. After 1 year Zama haku renew mkataba wake ila wakakubaliana aendelee na kazi na ataendelea kumlipa ila ndo kama hivi sasa for the last 2 years Zama hajamlipa hata sumni Director wake.


Huyu kijana ndio Director wa vipindi vikubwa vya Zamaradi, huyu ndo Director wa kipindi cha Single mamas na kipindi cha Paula na Kajala, Behind the gram. Imagine Director ambae ndo anamfanyia kazi kubwa hivyo Zama ham lipi hata sumni…


Sasa huyu kijana last week baada ya majukumu kumbana sana akaona aweke bond laptop ya ofisi ili apate hela za kujikimu weeeeeeeeeeee ndo imekuwa balaaaa kwa Zama na mumewe. Wanamdai laptop yao. Imagine mtu anawadai over 20 M ila Zama na mumewe ndo wanajionq kama wao ndo wamekosewa. Zama kam block kijana everywhere baada ya kuona kijana anadai sana pesa zake, yani utapeli.


Huyu kijana leo kafanya interview na sisi. Na wafanyakazi wangu wananiambia kuwa mwishoni mwa interview kijana kapigiwa simu na mkuu wa kituo cha polisi Kawe kaambiwa akaripoti kesho. Itakuwa ni baada ya mimi kuweka ile posti insta then Zama kakimbilia polisi. Imagine kijana wa watu mshahara hajalipwa for 2 years anafanya kazi bure, ana direct vipindi popular ila hata senti moja Zama hampi alafu yeye ndo atakaetiwa ndani, hapo ndo ujue rushwa ilivyo tatizo Tanzania.

.

Na huyu sio mfanyakazi wa kwanza wa Zamaradi alieleta malalamiko ya kufanya kazi miezi mingi na halipwi kitu. Zama hakujipanga at all na hii Tv. Ana big ideas ila hana pesa nyuma ya ku push those ideas matokeo yake anafanyisha watu kazi bure ili yeye ndoto zake ziende, wakilalamika kama hivi anahonga polisi vijana wanatiwa ndani.

.

Embu msikilizeni huyo mume wa Zama hiyo slide ya mwisho. Hataki hata kusikia issue ya kijana kudai pesa zake anamtishia tu maisha. Huu ni uonevu uliopitiliza. Voicenote ya mume wa Zama ni ya dakika 6, ingia kwenye app kusikiliza yote






----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad