Mange Kimambi Amzodoa ZARI Hassan Baada ya Kuweka Dimpoz Feki " Anahangaika Kutwa na ma Surgery Kisa Vitoto"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 

Mange Kimambi Amzodoa ZARI Hassan Baada ya Kuweka Dimpoz Feki " Anahangaika Kutwa na ma Surgery Kisa Vitoto"
Zari Hassan

Ameandika Haya:

Nyie shoga yangu kaweka dimples, 

Hapana aiseeee kama kuna mtu yuko uncomfortable in her own skin ni huyu aiseee….. kuweka wowowo yeye, kubana tumbo yeye, kuchonga miguu yeye, sindano za lips yeye, kuweka dimples yeye….. Huyu kuna siku ataiingia operating room na hatoamka tena, hizi surgery ni nyingi alafu anazifanya tofauti. Hiyo age yake pia sio nzuri kabisa kupigwa nusu kaputi hovyo hovyo.

Ila bora dimples zake nzuri sio kama zile za Muna Love zilikuwa kama zimepigiliwa na msumari 🤣🤣🤣, yani kishimo hakieleweki. Dimples za Bi Tukinao nzuri ila zikae sasa sio zipoteee kama za Muna. Walichokosea ni location tu ya dimple.

Bi Tuks kinachomfanya anahangaika kutwa na ma surgery ni sababu ya kutoka na vitoto vidogo, she is trying to keep up with their young looks. Angekuwa anatoka na wazee kama sisi wenzie wala asingekuwa na hizi pressure. Kama mimi hapa jamaa yangu kanipita 22 years yani ananiona kitoto sasa unadhani nna waza surgery? Ila ningekuwa na toka na kijana w 30 years najua visichana vya miaka 20s na 30s vinamtaka si kila siku asubuhi ningekuwa najiangalia kwenyw kioo kutafuta kunyazi la kurekebisha… Ila naishi kwa amani ya roho jamaa yangu ananiona mtoto mbichiiiii kabisaaaaa na kunidekeza juuu 🤣🤣🤣, ananiita African Princess mara 100 kwa siku, sio hata African Queen ananiona sijafika umri wakuitwa Queen, basi nabaki ka Princess, nyieeeeeeeee 🤣🤣🤣. Ila mi sijawahi kuwaelewa wamama kama Zari why wana hangaika na vitoto tena vitoto havina hata shingi 5 benki , ukiuliza kisa nini ? Sababu ni mbili, 1. na yeye aonyeshe kwenye social media ana bwana wa kumdinya 2. ngenye. Hizo ngenye kali mpaka unatiwa na kitoto kidogo unaweza kukizaa alafu bado unakihonga sidhani kama ntawahi kuzipata mpare mimi. Mimi mwanaume wa kunipa ngenye ni mwenye hela ndefu tu kwa kweli 🤣🤣🤣. Bila hela tendo lenyewe naliona bonge ya kero. Ila kama hela ipo uwiiiiii dyudyu naililia kabisaaa 🤣🤣🤣🤣🤣Yani hata sasa hivi niko na hela zangu mwenyewe ila bado nataka bwana alienizidi maokoto, tena anizidi kweli. Asienizidi maokoto simtakiiiiiiiii 🤣. Bora niwe single nijijue sina mwanaume kuliko kuwa na mwanaume asie na maokoto ya kueleweka.

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad