Mchambuzi Awapa Njia Nyeupe Yanga Adai Al-Merreikh ni Wabovu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 

Mchambuzi Awapa Njia Nyeupe Yanga Adai Al-Merreikh ni Wabovu

 Mchambuzi Awapa Njia Nyeupe Yanga Adai Al-Merreikh ni Wabovu 

Mchambuzi wa masuala ya soka nchini kutoka East Africa Radio, Master Tindwa amesema kuwa wapinzani wa Yanga SC kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, AL-Merreikh walikutana na timu ngumu kutoka Congo DR tofauti na Yanga ambao walikutana na ASAS FC ya Djibout.


Tindwa amesema hayo kuelekea mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Yanga na Al Merreikh ya Sudan utakaopigwa Septemba 16, 2023 nchini Rwanda.


“Ubora wa timu aliyokutana nayo Al-Merreikh na timu aliyokutana nayo Yanga ni tofauti, Wacongo ni wagumu, Yanga alikutana na Asas wepesi ambao waliwafunga saba, ushindi wa goli saba kwenye mashindano haya ni mkubwa sana, kwa hiyo tunahitaji tuone wakikutana itakuwaje,“ amesema Master Tindwa.


Kwa uoande wake, mchambuzi Samwel Rashid mwenyewe anajiita Wakanda Republic amesema kuwa ubora wa Kikosi cha Merreikh msimu huu sio mzuri ikilinganishwa na Ubora wa Yanga kwani wachezaji wengi wazuri wa timu hiyo wameondoka kutokana kutokana na hali ya amani kuwa mbaya nchini humo.


"Quality ya wachezaji waliopo ndani ya kikosi cha Al-Merrikh kidogo imepungua, kwa sababu wale wachezaji wake wengi nyota waliweza kuvunja mikataba na hiyo timu kutokana na machafuko yanayoendelea nchini Sudan.


"Sio tu wachezaji, bali benchi la ufundi pia, pamoja hata na rais wa timu ya Al-Merrikh aliweza kuondoka nchini Sudan akaenda kuishi uhamishoni nchini Morocco," amesema Wakanda.

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad