Kusah Afunguka Baada ya Tuhuma Kuwa Anatembea na Wolper Kimapenzi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kusah Afunguka Baada ya Tuhuma Kuwa Anatembea na Wolper Kimapenzi

 

Kusah afunguka baada ya tuhuma kuwa anatembea na Wolper kisha kwenda ku-Like post ya habari iliyomhusu yeye na Wolper


"Nimekaa kimya kwasababu sipendagi sana kujitetea kwenye vitu ambavyo havina maana wala ukweli wowote, mimi sijawahi kuwa hata na ukaribu na Wolper nahisi hata mama Nono (Aunty Ezekiel) anajua hilo, hatujawahi hata kuzoeana na nimemfahamu kupitia mama nono na anabaki kuwa shemeji yangu"


"Nampaga hiyo heshima kila siku, kwahiyo hata mama Nono angeamini hicho kitu ningeona huyu Mama akili zinacheza. Baada ya kusikia aliniuliza tukakaa tukaelezana ambacho kinaendelea, alipoujua ukweli tukaendelea na maisha yetu, hatujawahi hata kuacha kuongea kwa ajili ya hiyo sababu. Yeye na Wolper wako sawa mimi pia na Rich Mitindo mume wa Wolper tuko sawa"


"Mimi namshukuru Mwenyezi Mungu huenda ni mdogo lakini nina akili sana na nina busara sana na sipendi kukurupukia kitu chochote, hata ukikuta page yoyote imenisema siwezi kufanya chochote naacha maisha yaendelee kwasababu najua maisha ninayoishi ni maisha ya namna gani na mtu niliyenaye ni mtu wa aina gani. Sisi ni binadamu makosa yapo kukwaruzana kupo lakini siwezi kuwaruhusu watu wajue tuna mapungufu gani ndani kwetu"- Kusah


Siku chache zilizopita Wolper alionekana kukereka na uvumi huo huku akimlaumu Kusah kwa kwenda ku-Like post ya habari husika katika page ya Maimartha Jesse badala ya kukanusha kuweka ukweli wazi

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad