Yanga Usipime, Yawa Klabu Bora ya Wiki CAF

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Yanga Usipime, Yawa Klabu Bora ya Wiki CAF


Klabu ya Yanga imechaguliwa kuwa timu bora ya wiki ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika (CAF Champions League) round ya pili, mechi za klabu Bingwa zilizochezwa mwishoni mwa wiki iliyopita.


Kupitia mtandao wa Twitter (X) na Facebook wa Africa Soccer, Yanga ilipata jumla ya asilimia 65% ya kura ikifuatiwa na Mamelodi Sundowns waliopata asilimia 32%, Madeama asilimia 2% na FC Nouadhibou asilimia 1% na kura zilizopigwa katika mtandao huo zilikuwa 21,142.


Hii imechagizwa na kiwango chao bora dhidi ya Al Merreikh ambapo iilibuka na ushindi wa bao 2-0 ugenini lakini pia kitendo cha mashabiki wao wengi kusafiri hadi Rwanda ili kuisapoti timu timu yao

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad