Kocha wa Zamani wa Arsenal, Arsene Wenger Atua Tanzania

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kocha wa zamani wa #Arsenal, #ArseneWenger na Mwamuzi Mstaafu wa #FIFA, #PierluigiCollina, ni miongoni mwa Wajumbe walioambatana na Rais wa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA), Gianni Infantino kwa ajili ya Mechi ya ufunguzi wa African Football League 2023

Mechi hiyo kati ya wenyeji #SimbaSC dhidi ya #AlAhly ya Misri inatarajiwa kuchezwa jioni ya leo, Saa 12:00 katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, maarufu #Lupaso

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad