Mange Amnyooshea Diamond Platnumz "Simpendagi Kivile ila Ukweli Stori Zake Zinaniingizia Mpunga Mrefu"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mange Amnyooshea Diamond Platnumz "Simpendagi Kivile ila Ukweli Stori Zake Zinaniingizia Mpunga Mrefu"

Mange Amnyooshea Diamond Platnumz "Simpendagi Kivile ila Ukweli Stori Zake Zinaniingizia Mpunga Mrefu"

Mange Ameandika Haya:

Nyieee mdogo wangu @diamondplatnumz kawa nominated EMAs, naomba sisi kama Watanzania tumpigie kura….

Simpendagi kivile ila ukweli ni kwamba ananipa kula aiseeeee. Yani huyu dogo story zake huwa zinaleta new subscriptions kubwa and not only from Tz ila also from Kenya and Uganda. Kuna group la watu kutoka hizo nchi 3 huwa wana subscribe siku ya story za huyu jamaa tu then after 30 days membership zikiisha hawa renew membership mpaka ije story yake ingine ndo wanalipia tena. So yeah inabidi nimweshimu kwa kiasi flani maana anachangia sana watoto wangu kwenda chooni…

Let’s vote sasa hivi, leo hii. Huyu wa kwetu hata na kisabisabi chake ila bado wetu….

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad