Zuchu Asalimu Amri Ndoa Kwa Diamond Platnumz, Amwachia Mungu Afanye Miujiza yake

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 

Zuchu Asalimu Amri Ndoa Kwa Diamond Platnumz, Amwachia Mungu Afanye Miujiza yake

Malkia wa Bongofleva Zuhura Othman almaarufu Zuchu amefunguka kwa kuchoshwa na tuhuma za watu kwenye mitandao wakimtaka aolewe.


Zuchu kupitia kwenye mahojiano ya moja kwa moja na wanablogu wa mitandao nchini Tanzania amesimulia tetesi nyingi anazozipata kwenye mitandao kuhusu uhusiano wake na bosi wake Diamond Platnumz.


"Mwenyezi Mungu ndio mwanzilishi wa Ndoa, na pia nafahamu ndoa ni kama kifo hutokea kwa maisha ya mwanadamu wakati asipofahamu kwa hivyo wafuasi wetu kwenye mitandao ya kijamii wawe na subira mwenyenzi Mungu ndio anajua maisha ya ndoa kwa kila mmoja",alisema.


Zuchu alikiri kwamba yuko vyema na mahusiano yake na mpenzi wake Diamond akitaja pia kushagazwa na uvumi kwenye mitandao kuhusu chuki yake na mama Dangote akitaja kuwa yeye na mamamkwe wako salama na wanazugumza kila wakati.


Msanii huyo kwenye mahojiano haya alisimulia kuwa wasanii wengi hupitia maneno mengi makali kwa mitandao ya kijamii ila kwake jambo hilo limekuwa la kawaida akisema kuwa mara nyingi tu wafuasi wao kwenye kurasa za mitandao huwarushia maneno yasiyo na msingi wowote,


"Wanamitandao wengi ukifanya jambo zuri kamwe wanaliacha ila wakati jambo baya inazuka ndio wakati wanapata nafasi ya kuzungumza ubaya wako jambo hili linafaa kukoma kamwe kwani linachangia chuki kwa maisha ya wasanii,"alisema Zuchu.


----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad