Kocha Robertinho Aguna Baada ya Bao TANO na Kuamua Kuwapongeza Yanga Kwa Mziki Waliochezeshwa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kocha Robertinho Aguna Baada ya Bao TANO na Kuamua Kuwapongeza Yanga Kwa Mziki Waliochezeshwa

 Kocha Robertinho Aguna Baada ya Bao TANO na Kuamua Kuwapongeza Yanga Kwa Mziki Waliochezeshwa

 Kocha Mkuu wa Simba SC, Roberto Oliviera 'Robertinho' amewapongeza wapinzani wao wa jadi Yanga SC kwa kushinda dabi waliyoipiga jana Novemba 5, 2023 na kuibuka na ushindi wa 5-1.

Akizungumzia mchezo huo mara baada ya kumalizika kwa Simba kupoteza kwa kichapo hicho kizito, Robertinho amesema, wachezaji wake kipindi cha kwanza walicheza vizuri lakini kipindi cha pili walikuwa wanaacha nafasi kubwa kwa mpinzani.

"Walikaa nyuma sana na kutoa nafasi kwa mpinzani kufunga magoli mawili haraka lakini kimsingi niwaponmgeze wapinzani, wamecheza vizuri kipindi cha pili na kushinda dabi," alisema Robertinho.

SOMA PIA: Ahmedy Ally wa Simba Akiri 'Tumehadhibiwa Mpizani Katuzidi'

Yanga wamezidi kujikita kileleni kwenye msimamo wa Ligi Kuu kwa kufikisha alama 21 wakiwa wamecheza michezo nane huku Simba akishika nafasi ya tatu akibaki na alama zake 18 kwa michezo yake saba aliyocheza.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad