Michael Jackson Ndiye Marehemu Anayeingiza Fedha Nyingi zaidi Duniani

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Michael Jackson ndiye marehemu anayeingiza maokoto mengi zaidi


Mfalme wa Pop Duniani Michael Jackson ameongoza orodha ya Forbes ya watu mashuhuri 13 waliofariki wanaolipwa pesa nyingi zaidi, ambapo mapato yeke yanayokadiriwa kuwa dola 115 milioni sawa na tsh bilioni 288 bilioni kuanzia mwezi Oktoba 2022 hadi Septemba 2023.


Inaelezwa kuwa katika orodha mpya ya Forbes ya watu mashuhuri waliolipwa zaidi kwa mwaka wa 2023, ambayo iliwekwa wazi siku ya jana Jumanne, MJ ameshika nafasi ya kwanza kwa mara ya kwanza katika miaka minne, akifuatiwa na marehemu mkwe wake, Elvis Presley, katika nafasi ya pili.


Mfalme huyo wa Pop alifariki dunia Juni 25 mwaka 2009.

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad