BREAKING:Mvua kubwa yaitikisa Kilosa Usiku huu, Magari yasombwa, watu walia kuomba msaada

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA




Hivi ndivyo hali ilivyo katika eneo la Manzese A Mkwatani daraja la Mazinyungu Wilayani Kilosa Mkoani Morogoro usiku huu wa manane ambapo mvua kubwa inayoendelea kunyesha imesababisha maji kuzingira kwenye makazi ya Watu na kuharibu miundombinu huku shughuli za usafiri na usafirishaji zikikwama na baadhi ya magari yakiwa mbioni kusombwa na maji.

Mkuu wa Wilaya ya Kilosa, Shaka Hamdu Shaka tayari yupo eneo la tukio akifuatilia kwa ukaribu ili kuhakikisha madhara hayawi makubwa na ameiambia @AyoTV_ kwamba maji hayo yanayotokea daraja la Mto Mkondoa na daraja la Mazinyungu kwa kasi hadi kwenye makazi ya Watu baada mito kuhama katika njia zake za asili kwenye baadhi ya maeneo.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad