Haji Manara Ajitoa Rasmi Kushabikia Timu ya Manchester United, Aandika Haya Kwa Uchungu

Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Bonyeza Hapa


Mimi Haji Sunday Ramadhani Manara leo Tarehe 13 December 2023 kwa hiyari yangu na bila kushurutishwa na Mtu yoyote wala kushawishishiwa,nimejitoa rasmi kuwa shabiki wa Manchester United.

Kwa sasa ukiachana na Yanga,Sina Team yoyote duniani nnayoishabikia, ntabakia kushangilia Mpira mzuri tu.

Msinihusishe kwa utani au kwa vyovyote vile na Manchester, Vinginevyo Glazier na familia yake pamoja na huyo kipara watupishe.

Mpira hauwezi kunikosesha raha kila siku, Manchester Sio Baba yangu wala Mama yangu na wala Sio @zaiylissa useme ntakosa Nyandindu.
_________

 Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo na Makampuni Bonyeza HAPA

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad