Hatimaye FIFA yaiondolea Simba adhabu ya kutosajili

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 

FIFA yaiondolea Simba adhabu ya kutosajili
Hatimaye  FIFA yaiondolea Simba adhabu ya kutosajili

Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Mighh (FIFA) limeiondolea Simba SC, adhabu ya kufungiwa kusajili baada ya kuilipa Klabu ya Teungueth ya Senegal.


Awali, FIFA iliifungia klabu hiyo ya Ligi Kuu ya NBV baada ya kushindwa kuilipa Teungueth kutokana na mauzo ya mchezaji Pape Ousmane Sakho.


Klabu hiyo ilifungua kesi FIFA dhidi ya Simba ikidai sehemu ya malipo kutokana na mauzp ya Sakho. Simba ilishindwa kesi hiyo na kutakiwa kuilipa klabu hiyo ndani ya siku 45 tangu uamuzi huo ulipotolewa lakini haikutekeleza na kusababisha ifungiwe.


Baada ya kukamilisha malipo hayo, Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania nalo limeifungulia Simba kyfanya usajili wa ndani wa wachezaji hiyo ni kwa mujibu wa Ofisa Habari na Mawasiliano wa TFF, Cliford Ndimbo.

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad