Klabu ya Simba Yatoa Msaada Kwa Wahanga wa Maporomoko Hanang

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Klabu ya Simba Yatoa Msaada Kwa Wahanga wa Maporomoko Hanang


Klabu ya Simba imekabidhi msaada kwa ajili ya Wahanga wa mafuriko na maporomoko Hanang, Manyara ambapo misaada hiyo imepokelewa na Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Damas Ndumbaro ambaye amishukuru klabu ya Simba kwa kutoa msaada huo.


Kwa upande wake Mwenyekiti wa Bodi ya Simba, Salim Try Again amesema, “Kwa niaba ya Rais wa heshima Mo Dewji, Bodi, Uongozi, Wapenzi na Wanachama wa Simba tunapenda kutoa pole nyingi kwa Wahanga wa mafuriko na maporomoko huko Hanang, wengi wa Wahanga hawa ni Wapenzi wa soka, na sisi kama klabu tunaungana nao kwenye kipindi hiki kigumu”


Tukio hilo limehudhuriwa na Afisa Mtendaji Mkuu wa Simba, Imani Kajula na Katibu Mtendaji wa Baraza la Michezo (BMT), Neema Msika.

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad