Yanga Yatoa Milioni 50 Msaada kwa Wahanga wa Maporomoko Hanang

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Yanga Yatoa Milioni 50 Msaada kwa Wahanga wa Maporomoko Hanang


Rais wa Club ya Yanga ambaye pia ni Mwenyekiti wa Vilabu vya soka Barani Afrika ( ACA ) Injinia Hersi said ( @caamil_88 ) leo ametembelea eneo la mafuriko katika kijiji cha Katesh Wilaya ya Hanang Mkoani Manyara na kutoa pole kwa Waathirika na kuwasilisha misaada.


Taarifa rasmi kwa Waandishi wa Habari imeeleza yafuatayo “ Kwa kuunga mkono wito wa Rais Samia kuelekeza misaada ya haraka Wilayani Hanang, kwa kuunga mkono pia jitihada za Watanzania mbalimbali katika kuwasaidia Waathirika, Club ya Yanga kwa kushirikiana na @gsmfoundation tumechangia vitu vyenye thamani ya Tshs. 40,000,000 pamoja na kutoa fedha taslim shilingi milioni kumi (10,000,000) kupitia akaunti ya mfuko wa Taifa wa Usimamizi wa Maafa”.


Msaada huo umepokewa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Jenista Mhagama akiambatana na Mkuu wa Mkoa wa Manyara Queen Sendiga pamoja na Viongozi mbalimbali walioweka kambi Katesh kusaidia zoezi zima la uokozi.



----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. boost spotify plays is a strategic move to amplify your music's reach and engagement, enhancing visibility in the digital music landscape.

    ReplyDelete

Top Post Ad