P Diddy Atuhumiwa Tena, Yadaiwa Alimbaka Binti wa Miaka 17 Akisaidiana na Mwenzake

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

P Diddy Atuhumiwa Tena, Yadaiwa Alimbaka Binti wa Miaka 17 Akisaidiana na Mwenzake

P Diddy Atuhumiwa Tena, Yadaiwa Alimbaka Binti wa Miaka 17 Akisaidiana na Mwenzake

MAREKANI: Huenda Rapa na Mfanyabiashara Sean Combs maarufu kama Puff au Diddy akawa katika nyakati ngumu kutokana na tuhuma za Unyanyasaji wa Kingono zinazozidi kuibuliwa dhidi yake, licha ya yeye kukanusha uhusika wake

Hali hiyo inafuatia baada ya Mwanamke mwingine ambaye hajatajwa jina kufungua kesi akimtuhumu Diddy kuwa alishirikiana na wenzake kumfanyia Ukatili wa Kingono mwaka 2003 wakati akiwa na miaka 17 na Diddy akiwa na miaka 34

Kesi imefunguliwa chini ya Sheria ya Ulinzi ya Waathirika wa Ukatili wa Kijinsia inayowapa waathirika nafasi ya kufungua mashtaka ya Unyanyasaji ambapo zaidi ya kesi 2,500 zilifunguliwa chini ya Sheria hiyo itakayofutwa Machi 1, 2025

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad