Mwanamuziki DVoice Aaza Kupiga Hela Ndefu WCB

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 

Mwanamuziki DVoice Aaza Kupiga Hela Ndefu WCB

Sajili mpya wa lebo ya muziki ya WCB Wasafi, Dvoice Ginni amesaini mkataba wa dili nono la balozi wa mauzo ya biashara mwezi mmoja tu baada ya kusainiwa na kutambulishwa kwenye lebo.


Msanii huyo alipata ubalozi wa kuitangaza mchezo wa Kamari wa Kibubu cha Sikukuu, ikiwa ni mwezi tu baada ya kutambulishwa na alikuwa an furaha ghaya.


Dvoice alifichua ukweli wake kwamba ni kiasi kikubwa sana cha hela alichopokezwa kama balozi, akikitajak uwa kiasi ambacho hajawahi kukishika mikononi mwake tangu alipozaliwa.


“Ningependa kuwashukuru watu wote pia na uongozi wangu wa WCB Wasafi ni nguvu kubwa sana, support yao kubwa sana imefanikisha. Wamenifurahisha sana na ndio mimi pia ninafurahia nao.


"Niseme ni bahati tu kwa Mung, riziki zinakuja kwa bahati, ukiangalia ni dili ambalo nimesaini hela nyingi ambazo toka nianze maisha yangu ya muziki, na sio muziki tu, toka nimezaliwa sikuwahi kuzishika,” Dvoice alisema.


Pia aliutambua mchango mkubwa wa wasanii wenzake kwenye lebo – Zuchu, Mbosso na Lavalava akisema kwamba wamempa shavu kwa njia ya kipekee kuhakikisha kwamba anapata kutulia na kumakinika katika kazi za kutunga mashairi.

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad