TANZIA: Daktari aliemfanyia uchunguzi Sokoine afariki Dunia

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 

TANZIA: Daktari aliemfanyia uchunguzi Sokoine afariki Dunia

Daktari Bingwa wa utambuzi wa magonjwa na sababu za vifo, Profesa James Shaba amefariki dunia jana jumanne Desemba 5, 2023.


Profesa Shaba ndie aliyefanya uchunguzi wa mwili wa Waziri Mkuu wa zamani wa Tanzania ‘postmortem’ Hayati Edward Sokoine, kwenye hospitali ya Muhimbili.


Sokoine alifariki Aprili 12, 1984 akiwa na umri wa miaka 45 kutokana na ajali ya gari iliyotokea Dakawa mkoani Morogoro.


Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na familia ya Profesa Shaba inasema kuwa alifariki majira ya saa mbili usiku, Chicago nchini Marekani alipokuwa akiishi.


Mtoto wa marehemu, Anale Shaba amesema taratibu za maandalizi ya mazishi zitatolewa baadaye na kwamba marehemu Shaba ameugua kwa muda mrefu.

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad