Baba Levo Amchana Mwijaku 'Ghorofa Lenyewe Jembamba'

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Baba Levo Amchana Mwijaku 'Ghorofa Lenyewe Jembamba'


Mtangazaji wa Wasafi Media na msanii wa Bongo Fleva, Baba Levo amempongeza chawa mwenzake, Burton Mwemba maarufu kama Mwijaku kwa kujenga nyumba maana amewakomesha baadhi ya watu waliokuwa wanaongea sana mjini.


Lakini Baba Levo anasema ghorofa la Mwijaku jembamba mno na kudai kuwa Mwijaku ameongea uongo kuhusu gharama ya jumba lake na kwamba yeye anajua kila kitu tangu nyumba inaanza kijengwa.


Baba Levo amesema kwamba, nyumba ya DC Mwijaku haina thamani ya Tsh bilioni 1.3 kama alivyosema mwanzo bali gharama yake ni Tsh milioni 123 tu.


Aidha, Baba Levo amesema kuwa mashabiki wake wasubiri mwezi wa tisa ambapo atazindua nyumba yake mpya.


----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad