Binadamu wa Kwanza Kupandikiziwa Chip ya Neuralink Anaendelea Vizuri - Elon Musk

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Binadamu wa kwanza kuwekewa kipandikizi kutoka Neuralink anaendelea vizuri". - Elon Musk

Bilionea wa teknolojia Elon Musk amesema kwa mara ya kwanza kampuni yake ya Neuralink imefanikiwa kupandikiza kifaa maalum cha eletroniki kwenye Ubongo wa binadamu kisichotumia nyaya.

Lengo la kampuni ni kuunganisha akili za binadamu na kompyuta ili kusaidia kukabiliana na changamano za neva.

Inatarajiwa kuwa kifaa hicho kuwa kiunganishi cha ubongo na kitawasaidia watu waliopooza viungo kuweza kudhibiti vifaa kama simu na kompyuta wakitumia fikra zao.

Katika chapisho lake kwenye X, zamani Twitter, Musk alisema kwamba mgonjwa "anaendelea vizuri," na kwamba matokeo ya awali yanaonesha matumaini.
-
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad