Kivuko Kigamboni chapata Hitilafu, Wananchi pitieni Darajani

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 

Kivuko Kigamboni chapata Hitilafu, Wananchi pitieni Darajani

Meneja wa Vivuko Kanda ya Mashariki na Kusini ametoa taarifa kwa Watumiaji wa kivuko cha Magogoni - Kigamboni kuwa Kivuko cha MV. KIGAMBONI kinachotoa huduma eneo hilo kimesimama kutoa huduma kuanzia Alfajiri leo Jumamosi January 27, 2024.


Kivuko hicho kilipata hitilafu kwenye mfumo wake wa uendeshaji January 24, 2024 na Mafundi walijaribu kutatua changamoto iliyojitokeza kwa haraka na kivuko kiliweza kurejea kutoa huduma lakini changamoto husika imejirudia na kwasababu hiyo kivuko kimefanyiwa uchunguzi wa kina na imeamuliwa kisimame kutoa huduma ili kutatua changamoto iliyojirudia.


“TEMESA inawaomba Watumiaji wa magari kutumia njia mbadala ya Daraja la Mwalimu Nyerere kuanzia Alfajiri ya leo kwakuwa kivuko cha MV. KAZI kilichobakia pamoja na Sea Taxi mbili vitakuwa vikivusha abiria pekee mpaka hapo kivuko MV. KIGAMBONI kitakapotengemaa, TEMESA inawaomba radhi abiria wote kutokana na usumbufu uliojitokeza”

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad