Hii hapa Mikakati ya Serikali kuwaepusha wananchi na maafa ya mvua

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Hii hapa Mikakati ya Serikali kuwaepusha wananchi na maafa ya mvua


Wananchi wametakiwa kuchukua tahadhari ili kuepuka maafa yanayoweza kutokea kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali nchini.


Wito huo umetolewa na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu Ummy Nderiananga bungeni Dodoma, ambaye amewataka Wananchi kuepuka kuishi kwenye maeneo hatarishi kama vile mabondeni na maeneo yanayopitiwa na maporomoko ya udongo.


Naibu Waziri Nderiananga alikuwa akijibu swali la Mbunge Sylvia Sigula aliyetaka kufahamu Serikali imejipanga vipi kuzuia maafa katika kipindi hiki cha mvua.


Ametaja mikakati mingine ya Serikali katika kuwaepusha Wananchi na maafa kuwa ni kutekeleza mpango wa Taifa wa kukabiliana na madhara ya Elnino kwa kipindi cha Septemba 2023 hadi Juni 2024.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad