Watu Wawili Wafariki Baada ya Kupigwa na Radi Wakiangalia TV

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Watu wawili ambao ni Juliana Robert (31) na Mateso Antanas (35) Wakazi wa Kijiji cha Kigugu Kata ya Sungaji Wilaya ya Mvomero Mkoani Morogoro wamefariki dunia baada ya Kupigwa na radi wakati wakiangalia TV chumbani majira ya saa nne usiku.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro Alex Mkama amesema tukio hilo limetokea February 02,2024 na kifo chao kimesababishwa na Kupigwa na radi.

“Niwatahaharishe Wananchi kuchukua tahadhari kutokana na mvua zinazonyesha zimekuwa za radi na upepo hivyo kuhakikisha wanakuwa waangalifu na kuchukua tahadhari zote”

Miili ya marehemu imehifadhiwa katika chumba cha kuhifadhia maiti Hospitali ya Wilaya Mvomero .
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad