Yanga Yashika Nafasi ya Pili Club Yenye Mashabiki Wengi Africa, Haji Manara Atia Neno

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Yanga Yashika Nafasi ya Pili Club Yenye Mashabiki Wengi Africa, Haji Manara Atia Neno

Ameandika haya Haji Manara Baada ya Timu ya Yanga Kutajwa Katika Orodha ya Timu Zenye mashabiki wengi Africa: 

Yes, Kati ya Watanzania takriban Milioni Sitini kwa mujibu wa Sensa ya hivi karibuni, Dar es salaam Young African SC inao Washabiki zaidi ya Milioni Thelathini na Tano ambao ni karibu asilimia Sitini ya Watanzania wote, maana yake katika kila Raia kumi wa kibongo, Sita kati yao ni Wanazi wa Yanga!!

Kwa Statistics hizi Yanga inashika nafasi ya Pili Afrika kwa kuwa Club yenye washabiki wengi zaidi,tukitanguliwa na Al Ahly pekee.

Makolo na Wachambuzi wenu msinitolee povu mimi kawajibuni hao wakubwa walioandika baada ya Tafiti yao, By the way, hebu wewe mwenyewe unaesoma hii post fanya utafiti wako mdogo tu,,kati ya Watu wako wa karibu, Yanga na Madunduka nani anaongoza?

Imagine,hao ni Watu tu,,tukihesabu na Majini yetu tunafika Bilioni Moja 

People’s Club namba Two Afrika, ukinuna naleta Bakuli la Uji 
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad