Kocha Mamelodi Afunguka: Tunaamini Wadada Wengi Watakuja Kwa Mkapa Kutushangilia

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


“Kwangu sijawahi kuutazama mchezo wa mpira wa miguu kwenye kujilinda zaidi (kupark bus) bali nautazama mpira wa miguu kama burudani ambayo inapaswa kuambatana na matokeo mazuri, hakuna kitakachobadilika dhidi ya Yanga, kuhusu mbinu ni siri yangu na Wachezaji wangu, naamini tuna Kaka na Dada wengi tu hapa Tanzania ambao watakuja kutushangilia”

- Rulani Mokwena, Kocha wa Mamelodi Sundowns
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad