Hii Hapa Ndio Kampuni ya DUBAI iliyochaguliwa Kuendesha Mradi wa Mabasi ya Mwendokasi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Hii Hapa Ndio Kampuni ya DUBAI iliyochaguliwa Kuendesha Mradi wa Mabasi ya Mwendokasi


Kamishna wa Ubia kati ya Sekta ya Umma na Binafsi (PPP), David Kafulila amesema DART itasaini makubaliano Mwezi ujao na Kampuni ya Emirates National Group (ENG) ya Dubai ili kuendesha Awamu ya 1 ya Mradi wa Mabasi ya Mwendokasi Jijini Dar es Salaam

Kafulila amesema Kampuni ya ENG inaweza kupewa Uendeshaji wa Awamu nyingine za #Mwendokasi ikiwa awamu ya kwanza ya operesheni yake itafanikiwa

ENG kwa sasa inaendesha Huduma za Usafiri wa Umma huko UAE na Misri, ikiwa na zaidi ya Magari ya Abiria 1,000

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad