Mange Kimambi "Diva Hawezi Ishi Bila ya Mganga, Aangua Kilio Baada ya Abdul Razak Kuoa tena"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mange Kimambi "Diva Hawezi Ishi Bila ya Mganga, Aangua Kilio Baada ya Abdul Razak Kuoa tena"


Ameandika Mange Kimambi:

"Baada ya picha za mganga Shekh Abdul na mkewe mpya kupostiwa kwenye app siku ya leo, Diva aangua kilio kitakatifu.

Mnakumbuka posti yangu ya juzi niliwaambia nini? Niliwaambia hata baada ya mganga kumwita kibibi na kuoa katoto kadogo Diva bado anamtaka huyo mganga.

Imagine kelele zote zile za ooh nna mjerumani, ooh simtaki, oh nime move on. Leo nimeposti tu picha za mganga na kitoto chake Diva hajaamini alichokiona kwenye app ndo analia mpaka kamasi. Voicenotes ni za zaidi ya nusu saa. Sasa huyo anaongea nae mkimjua ndo mtakaa chini mlie….

Mnajua Diva anavyojifanya huku kwenye social media hamtaki mganga na kwenye real life ni vitu viwili tofauti kabisaaaaaa. Yani Diva hawezi kuishi bila yule mganga, leo ndo nimejua. Sidhani kama analiaga hivi hata akifiwa ila leo kamwaga chozi kisa picha za mganga na kimke kibichiiii ki under age.

Haya mkuje kwa app, msikilzie mavoicenote, mumjue huyo anaeongea nae. Mtashika kichwa… Diva sio mzima.

Duh, huyu mtu tutakuja kumpoteza sababu ya mganga" Mange Kimambi

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad