Rapper Rosa REE Apenya Katika List ya Grammy

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 

Rapper Rosa REE Apenya Katika List ya Grammy
Rosa Ree Grammy


Rapa @rosa_ree ametajwa kwenye orodha ya @recordingacademy ambayo imewatambulisha wasanii 10 wa Kike wa Afro Hip Hop ambao wanapaswa kutazamwa zaidi.


Kwenye orodha hiyo kuna wasanii wengine wa Kike toka Afrika kama Sho Madjozi wa Afrika Kusini, Femi One wa Kenya, Barony - Ghana, Nadai Nakai - Zimbabwe, na kutoka Nigeria ni pamoja na Candy Bleakz, SGaWD, Lifesize Teddy, Deto Black Eno na Deela.


Andiko hilo linatoa ufafanuzi wa kina kumhusu Rosa Ree na muziki wake, huku likitilia mkazo ngoma yake ya “Mama Omolo” na kuelezea jinsi ilivyokuwa na ubora wa kipekee katika maudhui na mtiririko wa muziki.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad