Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Bonyeza Hapa
Uongozi wa Simba SC kupitia Idara yao ya habari wamethibitisha kutokea kwa ajali mbili za mashabiki waliokuwa wakitokea mikoani kuja Dar es Salaam
Kwenye ajali hizo mbili tofauti ,shabiki mmoja amepoteza maisha na wengine kupata majeraha .
Niungane na Simba pamoja na wadau wengine wa mpira wa miguu kutoa pole kwa wote waliohusika moja kwa moja kwenye ajali hizi pamoja na kumuombea aliyetangulia mbele ya haki apumzike salama.
Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo na Makampuni Bonyeza HAPA