Watu 12 Wakamatwa Zanzibar Kwa Kula Mchana Hadharani

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Kufuatia taarifa mbali mbali zilizokua zikisamba mitandaoni zilizokua zikidai kuna baadhi ya watu hua wanatabia za kula hadharani mchana wa Ramdhani Zanzibar jeshi la polisi lilifuatilia taarifa hizo na kubaini uwepo wa watu wanaokula mchana wa Ramadhani

Kaimu kamanda wa polisi Mkoa wa mjini magharibi (Zanzibar) ACP. Abubakar amesema walifanya msako na kuwakamata watu hao 12 waliokula hadharani kwa maeneo tofauti ya mjini na kusisitiza kua ni kosa kula hadharani wakati wa ramadhani na watu hao wanashikiliwa katika kituo hicho cha madema kwa tararibu za kupelekwa Mahakamani

Aidha Ayo tv awali kabla ya Ramadhan ilifanya mahojiano maalum na mrajisi wa Baraza la Sanaa Zanzibar ambalo pia husimamia Milka ,Silka na tamaduni Zanzibar na kupiga maarufuku ya kupigwa kwa mziki ,Mabaa kua wazi na Ulaji holela wa hadhrani wakati wa Ramadhani na Uvaaji wenye staha ,katika kipindi Hiki cha Ramadhani Baadhi ya migahawa hufungwa na vyakula hupatikana sehemu maalumu zilizoruhusiwa ambapo watu huruhusiwa kula kwa kutoonekana hadharani
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad