Header Ads Widget


Yanga ni Kubwa Kuliko Mamelod Sundown..Hizi Hapa Facts



Yanga ni kubwa kuliko Mamelod Sundown, nimekuletea Fact kwamba Yanga ni kubwa kuliko Mamelod.

>Yanga ilizaliwa Mwaka 1935 wakati Mamelodi ilizaliwa 1970.

>#YangaSC ni Bingwa Mara 29 wa Ligi wakati Mamelodi ni Bingwa Mara 16 tu wa Ligi.

>#Yanga amecheza Fainali ya CAF CC, #mamelodi hajawahi kufika Fainali ya CAFCC Mafanikio yake kwenye CAFCC ni kugika Group Stage tu.

>Raisi wa Yanga Hersi Said ni Mwenyekiti wa Vilabu vyote barani Afrika, Mmiliki wa Mamelod Motsepe ni mfanyabiashara Mkubwa Afrika.

>Yanga ni miongoni mwa Timu mbili zenye Mashabiki wengi zaidi Tanzania wakati Mamelodi ni sawa na Azam huko Afrika Kusini. Timu zinazoongoza kuwa na Mashabiki Afrika Kusini ni Kaizer Chief na Orando Pirates.

>Yanga inatumia Uwanja wa Mkapa kama Uwanja wa Nyumbani wenye uwezo wa kuingiza Mashabiki 60K, Mamelodi Uwanja wao unabeba Mashabiki 51K

Post a Comment

0 Comments